EXCLUSIVE   Kama kawaida instagram haiishiwi na mapya ambapo hivi karibuni style mpya ambayo ni hip hop dance ( Dab) aliyoianzisha rapper maarufu huko atlanta

Migos.

Aina hiyo ya uchezaji imetoka kwenye wimbo wa
"
Look at my dab ulioimbwa na migos
" tayari baadhi ya mastar wametoa support ya wimbo huo kwa kupiga picha huku wakikunja mikono huko insta gram na kuifanya kuwa maarufu zaidi mitandaoni kana kwamba ukipiga picha bila kutupia hilo pozi basi hiyo picha haijakamilika!

Kwa maelezo zaidi soma hapa - WIKIPEDIA 

 hebu litazame hilo pozi kisha tazama video zake.. usisahau kutoa maoni yako kuhusu hii